Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2018

UPIMAJI NA TATHIMINI

  ndugu nipende kukukaribisha kwenye hii blogu tuweze kujifunza kwa pamoja maswala yahusuyo ualimu ili kuweza kupata maarufa yatakayotusaidia kufanya kazi ya ualimu kwa ufanisi.         katika mazingira ya shuleni ni vema kumpima mwanafunzi wako ili kujua ni kwa kiasi gani anaelewa maarufa unayompatia ili kama hayatoshi uone unavyoweza kuboresha ili ayapate kama yalivyotarajiwa hapa tutakwenda kuonaona maana ya upima katika ngaz ya kielimu upimaji  ni kitendo cha kutaka kujua ni kwa kiasi gani mwanafunzi amepata maarifa yaliyokusudiwa katika somo husika upimaji huu unaweza kufanyika kwa njia mbalimbali ambazo tutakwenda kuziona badae na namna ya kuzitumia AINA ZA UPIMAJI Katika upimaji wa kielimu tunazo aina kuu nne za upimaji ambazo ni upimaji wa awali upimaji endelevu upimaji tatuzi upimaji tamati.    Hizi ndizo aina za upimaji wa kielimu ambazo hutumika kumpima.mwanafunzi   Tukianza na ainaa ya kwanza ambayo ni upimaji awa...